lirik lagu ali kiba - mali yangu
[chorus]
kama ni makosa kupendelea moyo w~ngu huchagua
hayo yote nisiumize moyo wako
pia ujumlishe na yale yale yale
mapenzi matamu ya kama halua ya allah bali yangu yaliwa
[verse 1]
mapenzi matamu ya wawili mashallah
walio pendana kwenye hii dunia kama adam na hawa
kwa hii hali mi sijali nivumilie ntazoea
kukonyeze titi na kujiamini kunisaliti si hatari
kiota changu cha moyo ni zawadi
zinukie hisia zangu kwako kama ua ridi
nishaumizwa sana kukinyesha mvua baridi
kwa jinsi ulivyo utesa staki urudi
tell molina ali naumia, ali naumia, mapenzi
tell molina ali nateseka [?]
[chorus]
kama ni makosa kupendelea moyo w~ngu huchagua
hayo yote nisiumize moyo wako
pia ujumlishe na yale yale yale
mapenzi matamu ya kama halua ya allah bali yangu yaliwa
[verse 2]
pendera, hupendi karaha
nami sinyora, nikose raha
unantia hasara, kula kulala
na garagara, unaniumiza roho
you my friend na uliniumiza roho
kila weekend uko busy na hayo
unayoyapenda ya kuuza sura
nilisha nunua eti unapenda
kutenda kwa yale yote unayo jiskia
baby kwanini mateso, mateso, mateso, mateso ya roho
wengi wanasema usiniumize roho
[chorus]
kama ni makosa kupendelea moyo w~ngu huchagua
hayo yote nisiumize moyo wako
pia ujumlishe na yale yale yale
mapenzi matamu ya kama halua ya allah bali yangu yaliwa
[verse 3]
[?]
[chorus]
kama ni makosa kupendelea moyo w~ngu huchagua
hayo yote nisiumize moyo wako
pia ujumlishe na yale yale yale
mapenzi matamu ya kama halua ya allah bali yangu yaliwa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu qwop (atl) - overtake
- lirik lagu younhollo - fuck it
- lirik lagu lyrick logick - hit zero!
- lirik lagu ingxai - красные порезы/vampire knight
- lirik lagu winterful - snowflake eater iii
- lirik lagu peet (bel) - mrs jones
- lirik lagu ramtineiem - polo pale
- lirik lagu pionieris - aglona
- lirik lagu william (fr) - croco
- lirik lagu lil aut - crystall