lirik lagu ali kiba - kheri
[intro]
oh, yeah no
mmm
yo!
mocco
[verse 1]
mi sinaga kulipiza
[?] hiyo
(woh! [?] hiyo, hiyo)
kupenda kupitiliza
you know that is true
ah, kukupata miujiza
baby you, girl
umenituliza roho, oh
(umenituliza)
[pre~chorus]
ah, natamani hii dunia ingekuwa yako
moyoni nimekuamishia, ‘kaa pekee yako
toka zamani ningekujua
ningekuwa wako
moyoni nimekususia, ‘kaa pekee yako
[chorus]
kheri
(oh)
kujuana nawe, baby
(oh)
ooh, ooh
ah
ma, kheri
(oh, oh…)
kujuana nawe, baby oh
(baby)
baby, yeah
(baby)
[verse 2]
kanikamata kwenye koo
oh, ananiliwaza kwa roho
(kwa roho, kwa roho)
oh, mahaba shikamoo, ooh
oh, yamenilemaza kwa roho
roho
ooh, oh, ooh, oh
[bridge]
she’s my darling
she’s my darling
she’s my darling, yeah
mtoto mzuri na show, show hatari
show hatari
show hatari
(yeah)
[pre~chorus]
ah, natamani hii dunia ingekuwa yako
moyoni nimekuamishia, ‘kaa pekee yako
toka zamani ningekujua
ningekuwa wako
moyoni nimekususia, ‘kaa pekee yako
[chorus]
kheri
(oh)
kujuana nawe, baby
(oh)
ooh, ooh
ah
ma, kheri
(oh, oh…)
kujuana nawe, baby oh
(baby)
baby, yeah
(baby)
[outro]
kheri
khe~khe~kheri
the mix k!ller
khe~khe~kheri
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu the david mayfield parade - time's winding up
- lirik lagu asa gibbs - the green mile
- lirik lagu brown1e - хуй = днк (dick = dna)
- lirik lagu eschalon - delirium
- lirik lagu peter gallway - they went that-a way
- lirik lagu idioti nové doby - škodlivý návyk
- lirik lagu sdm - dans la tête des gens
- lirik lagu onfully - half stepper
- lirik lagu sabrina li - i know we're friends
- lirik lagu neyma - mbilo yanga