lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ali kiba - kajiandae

Loading...

[verse 1 : ommy dimpoz]
oh cherie
usione nachelewa
mwenzako nafanya mipango
tupate riziki kidogo
yo mamii
usione nachelewa
yote sababu mipango utasubiri kidogo
my moonlight, my sunshine
my moonlight, my moonlight
my sunshine, my moonlight
nimekuwa kama daladala
kutwa kuchwa kwa barabara
kuzichanga hizo gwalagwala nikutunze mama
nimekuwa kama daladala
kutwa kuchwa kwa barabara
kuzichanga hizo gwalagwala nikutunze mama

[chorus : alikiba & ommy dimpoz]
basi mamii ooh
kajiandae, we jiandae andae
vunja kabati kidogo
kajiandae, we jiandae andae
basi mamii ooh
kajiandae, we jiandae andae
nikutoe out kidogo
kajiandae, e jiandae andae
mimi nakuja oooh
kajiandae, we jiandae andae
kuna foleni kidogo
kajiandae, we jiandae andaе
mamii mamii ooh
kajiandae, we jiandae andaе
nimepata visenti kidogo
kajiandae, we jiandae andae
[verse 2 : alikiba]
imeandikwa kila mtu na msalaba wake
na we ndio roho yangu mi nataka utoke
alichonipa mungu mimi unakijua
sina haja ya kujitutumua nikaumia
ile saa aloniachia babu unaik~mbuka
mimi niliuza jana ili tupate pesa
kwanza uvae upendeze na tabasamu lako
uhai kw~ngu mimi kwenye upini wako
mshahara bado mashaka kazini sijalipwa
liwezek~n~lo leo lisingoje kesho
we ndo raha yangu
na mimi ndo raha yako
umejawa roho yangu
kajiandae

[chorus : alikiba & ommy dimpoz]
basi mamii ooh
kajiandae, we jiandae andae
vunja kabati kidogo
kajiandae, we jiandae andae
basi mamii ooh
kajiandae, we jiandae andae
nikutoe out kidogo
kajiandae, we jiandae andae
mimi nakuja oooh
kajiandae, we jiandae andae
kuna foleni kidogo
kajiandae, we jiandae andae
mamii mamii ooh
kajiandae, we jiandae andae
nimepata visenti kidogo
kajiandae, we jiandae andae
[outro : alikiba & ommy dimpoz ]
wewe na mimi mimi ooh
ujiandaee ooh
najua siku moja moja raha
si haba uko nami
kajiandae
we jiandae
we jiandae andae
we jiandae
we jiandae andae
we jiandae
we jiandae andae
we jiandae


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...