lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ali kiba - dushelele

Loading...

[verse 1]
nilimwambie asile
ye alikula akavimba akaja
mtoto mzuri aliyezaa
na yule jamaa mwenye mahela
akaniacha na njaa kwenye mataa
yeye akaniacha nalia na mola
ali wa leo nalia na mola
ona
yule aliye kupa wewe
ndio kaninyina mimi
na kama riziki anatoa yeye
basi ntakosa mimi
ila mola ndio anayetoa
tena kwa foleni hata kama niko nyuma
nitapata lazima

[chorus]
asile
ana maana yule
mimi na yule (yule)
tulipendana yule
ale dushelele
dushelele shele dushelele ooh
ale dushelele shele
dushelele dushelele ooh
ale dushelele shele
dushelele shele dushelele ooh
ale dushelele shele
dushele dushele waegoo ooh
[verse 2]
yule aliyepanda
kwenye lile shamba langu
hakuona uchungu kuizunguka nyumba yangu
ukatanda ukungu
kwa penzi la madhulumu
anayetena kamtema
alikuwa hawara

[bridge]
mimi na yule (yule)
tuliona yule
mimi na yule (yule)
tulifunga ndoa

[verse]
anatanga na kichanga kutwa kiguu na njia
na nani ampe rupia iende pasi na fadhila
madhila anayopata nikimuona namhurumia
natamani arudi kw~ngu ila k~mwambia sio sawa

[bridge]
mimi na yule (yule)
tuliona yule
mimi na yule (yule)
tulifunga ndoa
[verse]
maji ya mapenzi aloonyesha yalifata mkondo yaakenda
na radi ikapiga k~maanisha kuwa nilimpenda

[bridge]
mimi na yule (yule)
tupendana yule
mimi na yule (yule)
tulifunga ndoa
yule, yule

alerakakakakakaka dushelele

[chorus]
ale dushelele
dushelele shele dushelele ooh
ale dushelele shele
dushelele dushelele ooh
ale dushelele shele
dushelele shele dushelele ooh
ale dushelele shele
dushele dushele waegoo ooh
ali wa kitaa
ali wa leo
si unaona eeh
ale dushelele
dushelele shele dushelele ooh
ale dushelele shele
dushelele dushelele ooh
ale dushelele shele
dushelele shele dushelele ooh
ale dushelele shele
dushele dushele waegoo ooh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...