lirik lagu ali kiba - bailando
[intro]
yo!
african princess
[verse 1: alikiba]
naugua
naugua
kukupenda naugua
nakupa yako maua
kunipenda, umejua
[verse 2: nandy]
naugua
naugua
kukupenda naugua
nakupa yako maua
kunipenda, umejua
[verse 3: alikiba]
roho yangu [suru?]
kwa mwingine sitamani
mi umenijaa moyoni
nakupenda, hayawani
[verse 4: nandy]
mi pembeni sitazami
umenizidi mzani
hoi, oh, bin taabani
na sijutii asilani
[pre~chorus: alikiba & nandy]
wewe umeniathiri
tabia umenibadili
mwenyewe si unaona?
ah, ah, ah
tumelandana mwili
utambi na [kandiri]
mwenyewe si unaona?, ah
naona
[chorus: nandy & alikiba]
bailando (baila, baila)
mi amor (baila, baila)
bailando, oh (baila, baila)
mi amor (baila, baila)
mi amor, oh, oh, mi amor
bai…
bailando
[verse 5: alikiba]
haste, haste na kipira, baby
moyo unadunda kwa gredi
ai, mwenzako na dead
ufundi ka tuko gereji
[verse 6: nandy]
ah, si utaniua, baby?
moyo unadunda kwa gredi
haya unayonipa mapenzi
umeniweza
[bridge: alikiba & nandy]
mwenzako mimi
(nani wewe)
moyo w~ngu
(moyo wako)
nia yangu
(nia yako)
mpaka mwisho
(mpaka kifo)
[pre~chorus: alikiba & nandy]
wewe umeniathiri
tabia umenibadili
mwenyewe si unaona?
ah, ah, ah
tumelandana mwili
utambi na [kandiri]
mwenyewe si unaona?, ah
naona
[chorus: nandy & alikiba]
bailando (baila, baila)
mi amor (baila, baila)
bailando, oh (baila, baila)
mi amor (baila, baila)
mi amor, oh, oh, mi amor
bai…
bailando
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu klaudeliza - domina
- lirik lagu k8pas - casse du siècle
- lirik lagu whoisrolan - 7446
- lirik lagu keepyy - пойдём (let's go)
- lirik lagu scott reynolds - magic beans and time machines
- lirik lagu racoon - parrot says what?
- lirik lagu steve pollak - come on up to my room
- lirik lagu john trevor - spider
- lirik lagu apex.yota - i wish i was with you
- lirik lagu bully - i won`t stop