lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ali kiba - asali

Loading...

[verse 1]
kama kulia nitalia na yeye
kucheka nitacheka na yeye
kuimba nitaimba na yeye
ni fuhara
kuteseka nitateswa na yeye
aaahh akisababisha yeye
stress akinipa yeye ni sawa

[pre chorus]
hata dunia aah iumbwe upya
mimi nitakupenda mpaka mwisho
hata dunia aah iumbwe upya
mimi nitakupenda aah mpaka mwisho

[chorus]
hata uende mbali ooh
mbali asali yangu mi hodari
hodari hodari
hata uende mbali ooh
mbali asali
asali yoo w~ngu
hodari oooh

[hook]
tarara tata raa
tarara talanta tarara
ta raa tarara tataraa
tarara tata raaa
talanta tata talanta
tarara tata raa
tarara talanta taraaah
[verse 2]
you are my enjoy pretty pie
raha tu unazonipa we umesababisha mi kichaaa
kama ni dawa niambie tu
maana mi presha juu yako tu
ni wewe tuu, ni wewe tuu

[pre chorus]
hata dunia aah iumbwe upya
mimi nitakupenda aah mpaka mwisho
hata dunia aah iumbwe upya
mimi nitakupenda aah mpaka mwisho

[chorus]
hata uende mbali ooh
mbali asali yangu mi hodari
hodari hodari
hata uende mbali ooh
mbali asali
asali yoo w~ngu
hodari oooh

[hook]
tarara tata raa
tarara talanta tarara
ta raa tarara tataraa
tarara tata raaa
talanta tata talanta
tarara tata raa
tarara talanta taraaah
[outro]
amore mon chéri
khabulah, khabulah, khabulah, kahbulah, kahbulah
amore mon chéri (mon chéri)
khabulah, khabulah, khabulah, kahbulah


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...