lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu alephmuziki - gr8fl

Loading...

mbuya nyasaye 84

i’m grateful
ndio maana sina pressure
hata kaa bado mf~ko bado haijago green ka mpesa
bado kaa utotoni mi hutesa
juu mnanipa lesser than
chenye god amenibless nayo so
niko grateful boss
mi niko molar hio ni reason ya kufloss
mi sinanga beef but mkileta mi ndio sauce
grateful mi hu fit kaa pro mi si loss, my
bars are hexadecimal, yours are binary
this is coming from my heart we ni vain mi ni hatari
still moving on nimetoka mbali
thank god fi family
natry tu kukuwa your one in a milli
thank god fi true friends
wale nikigo wrong, yeah, they face me si ma two face
love wamekafunga kama shoe lace
watch them walk a mile in my shoes hata wakiwa shoe less
si story
ni ye anafanya nisiworry
for his glory
i mean it na siko lonely
mwenye aliset na akarise ako side yangu he’s for me
ye hupatikana time unasaka form si 34b
i’m grateful
kila siku nashukuru juu
hewa sitoi ushuru, na
moyoni mi niko huru, yeah
kwenye giza nina nuru napata ukweli sio fununu
tangu kitambo nko kwa word so kila siku i’m on the new nu
i’m grateful ~4

grateful
i’m grateful for my days
hata zingine ziwe messed up i know i got help for days
juu my day ones wamewakilisha for days
na wakidai voice of afrika huku kwetu ndio base
joh siamini
unaeza amka kila daily uki
dhani ni kawaida
hii ni mawaidha shukurani ni
ibada kama kawaida
usibaki uki
tamani kurudi nyuma
shukurani ni
kufungua milango kwa yaliyo mbeleni
ukifocus on the price finish line
utapata ukipaa io design
ya kuwalk without being weary
run and not faint
nguvu kufanywa mpya
and that is everyday
i’m grateful
that’s why niko grateful
nafurahi ata safari ikiwa ndefu
coz that shows there’s alot he’ll take me through
na kwa yote victory ni yangu tu thats why
i’m grateful ~8


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...