lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu akoth - nakushukuru

Loading...

mimi sina mengi ya kukuambia baba,
wala sina chochote cha kukupa leo,
ila nimekuja mbele zako sasa,
kutoa shukrani zangu kwako sasa,

nakushukuru baba mwenyezi mungu
asante sana mungu w-ngu asante
nakusifu ewe mwenyezi mungu
nakushukuru mungu w-ngu wastahili

umetendaa majabu baba yangu,
siwezi kuyaeleza yote leo hi,
kazi ya mikono yako ni kuu,
pokea sifa na shukrani zangu baba,

nakushukuru baba mwenyezi mungu
asante sana mungu w-ngu asante
nakusifu ewe mwenyezi mungu
nakushukuru mungu w-ngu wastahili

bingu na nchi na yote yaliyomo ni yako,
dhahabu na fedha zote ni zako baba,
hata ingawa ninakupa sadaka zangu,
haziwezi kuya zidisha yale umenipa,

nakushukuru baba mwenyezi mungu
asante sana mungu w-ngu asante
nakusifu ewe mwenyezi mungu
nakushukuru mungu w-ngu wastahili

wachaa sifa na shukrani rafiki yangu,
iwe dhabihu yako kwa mwenyezi mungu,
mungu haitaji mambo mengi toka kwako,
ila sifa na shukrani kila mara,

nakushukuru baba mwenyezi mungu
asante sana mungu w-ngu asante
nakusifu ewe mwenyezi mungu
nakushukuru mungu w-ngu wastahili

mwenyezi mungu, bwana ninakushukuru
muumba w-ngu, bwana ninakushukuru
umefanya mengi yoyo oo, bwana ninakushukuru
mambo ya ajabu baba, bwana ninakushukuru
mimi siwezi kamwe ee, bwana ninakushukuru
kuyaeleza yote leo, bwana ninakushukuru
naja mbele zako sasa, bwana ninakushukuru
kutoa shukrani zangu kwako oo,bwana ninakushukuru

shukuruu bwana mwenzangu
barikii bwana rafiki
chezea bwana kidogo
pigia bwana makofii
pigia bwana nderemo
imbia bwana wimbo mpya lala lala lala laaa


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...