lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu aisha vuvuzela - sipendi kugombana

Loading...

sipendi kugombana
nilikuwa sina haja lakini mmeleta ukuda
hizo zenu jitihada kw~ngu zimegonga ukutaa
mijineno kawaida lakini mwezenu nakubalika
mtazameni mbele lakini msisahau mlipotokaa
ijineno kawaida lakini mwezenu nakubalika
mtazameni mbele lakini msisahau mlipotokaa

msaada kwenu sijaomba naridhika na nachopata
mkiniona mnakonda na sura zina wapaukaaaa
poleeeni sanaaa
ahaaa
dar tmk habari ya mjinii
mnayonifanyia sijali najua mitihanii
mengi na stahamili siweki kinyongo rohooni iii
mnayonifanyia sijaaali najua mitihanii
mengi na stahamili siweki kinyongo rohooni iii
usafi w~ngu wa moyo mungu kanijaalia
uzuri sifa yangu ndio maana mwanichukiaa aaaah
usafi w~ngu wa moyoo mungu kanijaaliaa
uzuri sifa yangu ndio maana mwanichukiaa aaaah
ukisema potelea mbali nawaambia wa kazi ganii
namjali anae nijaliii namthamini anaenithamini
oooohh
ukisema potelea mbali nawaambia wa kazi ganii
namjali anae nijaliii namthamini anaenithamini

aaaaaaahhhh ooohhhhhhhh
huwa sipendi kugombana yamenishinda
sio kama nguvu sina nawachakachuaaaaa
huwa sipendi kugombana yamenishinda
sio kama nguvu sina nawachakachuaaaaa
kuongea mmejaaliwa niachieni vuvuzelaa
mnavyonifuatilia mnachelewa hadi kulalaaa
kuongea mmejaaliwa niachieni vuvuzelaa
mnavyonifuatilia mnachelewa hadi kulalaaa

maisha sasa mapambano sio kucheza makidaa
mie sipendi malumbano kw~ngu hayana faidaaaaah
maisha sasa mapambano sio kucheza makidaa
mie sipendi malumbano kw~ngu hayana faidaaaaah
we father maujii sukari yaoo a a a aaaa
mkali wa viatuu

asante sana mfalme wao wanaoijita wafalme
huyu ndio kiboko yao omary teggo

asante mipango one touch hiiii

mnashindwa kunikabili mtaishia kulalamaa
mimi sina habari nafanya yangu ya maaana
mnashindwa kunikabili mtaishia kulalamaa
mimi sina habari nafanya yangu ya maaana
kinanisumbua pesa si matumizi ya pesaaa
hamto nikondesha wala kunitia preshaaaa
mnashindwa kunikabili mtaishia kulalamaa
mimi sina habari nafanya yangu ya maaana
nina sifa jogoo kuwika bila kutagaa
hamnisumbui nyoyo levo zenu nimeshapitaa
mnashindwa kunikabili mtaishia kulalamaa
mimi sina habari nafanya yangu ya maaana
mnashindwa kunikabili mtaishia kulalamaa
mimi sina khabari nafanya yangu ya maaana aah

wee chidi boyiii fundi wa ma fundiii chiii
wapelekeeee
cheza rumba na watot wa uswahiili vuvuzelaa

nalia mimi vuvu nalia vuvuzelaa nalia mimi
wema w~ngu hauna faida sababu masikinii
ahhh
nalia mwezenu nalia mimi nalia mama nalia mimi
wema w~ngu hauna faida sababu masikinii
j~po masikini oohh sikuomba mimiiii
ila naamini yaa mungu mitihanii
j~po masikini oohh sikuomba mimiiii
ila naamini yaa mungu mitihanii

wasitutushe
watapata tabu sana
mashairi/ kwa maneno/ by baraka mkande
sipendi kugombana taarab

aisha vuvuzela sipendi kugombana .lyrics/mashairi/kwa maneno

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...