lirik lagu ahdi weezy ke - bash(hey modo)
[intro]
hey niaje oriyaa
niko na bash hivi hoody
si utakam na mbogi yako
viti mase
ka kuna waba ndakam na rende mzima
nmetuma crate kibeo
pamoja na mashuksha
wazi nakam
[chorus]
hey modo hii ni party changamka(ah ah ah)
acha kungethia kata waba bambika(alaah)
shikisha jaba seti wada isiposhika(eeeih)
lipua shada choma ngale sitashika
[bridge]
bambika kaka(eeeeih)
bambika dada(aaaaih)x2
[verse_1]
najua mlikam kwa miguu
mkitoka mtabebwa juujuu
hii ndo day ya kusare shida
mtulie mkate waba
mumetegea sana liquor
poleni msiwory itafika
mumetegea hadi muguka
dakika chache tu mtashika
kama haupendi shada(ch0m~ka)
kama haupendi liquor(bomoka)
kama unagwaya karao(vyatuka)
kama unadai jaba(changamka)
[chorus]
hey modo hii ni party changamka(ah ah ah)
acha kungethia kata waba bambika(alaah)
shikisha jaba seti wada isiposhika(eeeih)
lipua shada choma ngale sitashika
[bridge]
bambika kaka(eeeeih)
bambika dada(aaaaih)x2
[verse_2]
hii ni bash
cheki maafash
kata liquor
jabika
seti wada
lipua shada
uzuri uko na nare
k~mbuka ni mpaka mangware
msijali ndawashikia mangale
ref vyam usilete za obore
hapa man utakula kibare
ukitaka act kama mwewe
ukikеmba ng’oko pita naye
cheki vile queen~b anatеza
wallahi anajua kuromboza
[chorus]
hey modo hii ni party changamka(ah ah ah)
acha kungethia kata waba bambika(alaah)
shikisha jaba seti wada isiposhika(eeeih)
lipua shada choma ngale sitashika
[bridge]
bambika kaka(eeeeih)
bambika dada(aaaaih)x2
[outro]
hey modo hii ni party changamka(ah ah ah)
acha kungethia kata waba bambika(alaah)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu деси слава (desi slava) - ела (ela)
- lirik lagu jonathan (hrv) - wicked games
- lirik lagu lyhts - feeling this way (loosing interest)
- lirik lagu pandaraps - castle
- lirik lagu f'rhyme - abrakadabra
- lirik lagu wifiskeleton - sdfghjklkljkl:, ._.
- lirik lagu chill deal - это снимaeт боль
- lirik lagu fauxpas (pl) - lato 23'
- lirik lagu маленький ярче (malenkyi yarche) - ikona
- lirik lagu irenne chc - revelaction