lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu abigail chams - muhibu

Loading...

[intro]
oh, it’s abigail chams again

[verse 1]
ka niko ndotoni
unavyo nilevya
upendo unanimaliza
na uko moyoni unanitosheleza, baby
na mwendo, nimaumaliza
kwako baby

[pre~chorus]
mimi ooh
pressure inashuka, inapanda
milio inainuka, inapanda
mwenzio ooh
nimekua chawa mdananda
kila unapokwenda, nakuganda

[chorus]
utaniua kwa mapenzi haya
utanik!ll kwa mapenzi haya ooh
muhibu, muhibu, nimekuchagua
tabibu, tabibu, ooh wewe tu wewe
muhibu, muhibu, nimekuchagua
wewe, tu wewe
tabibu, tabibu, ooh mmh uh mmh
[verse 2]
mi siwezi
maana naona nimeshindwa
ndio mana nimekuachia wewe mmh
kwenye penzi
we ndio mshindi, kw~ngu bingwa
kikombe nakupatia wewe

[bridge]
siguni, sikohoi
utachoniambia, sich0m~i
hapa nilipo, hoi
sijiwezi, goi goi

[pre~chorus]
mimi ooh
pressure inashuka, inapanda
milio inainuka, inapanda
mwenzio ooh
nimekua chawa mdananda
kila unapokwenda, nakuganda

[chorus]
utaniua kwa mapenzi haya
utanik!ll kwa mapenzi haya ooh
muhibu, muhibu, nimekuchagua
tabibu, tabibu, ooh wewe tu wewe
muhibu, muhibu, nimekuchagua
wewe, tu wewe
tabibu, tabibu, ooh mmh uh mmh
[outro]
tamba baby, tamba baby


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...