lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu abbey mickey - unastahili kuabudiwa worship medley

Loading...

unastahili kuabudiwa
unastahili eh eh eh eh
unastahili kuabudiwa
unastahili eh

unastahili kuabudiwa
unastahili ewe yesu
unastahili kuabudiwa
unastahili eh

mwingine kama wewe baba
mimi sij~pata ooh ooh
kama wewe eh baba
mimi sij~pata
mwengine kama wewe
kama wewe kama wewe
sij~pata wuuh
kama wewe eh baba
mimi sij~pata

unastahili kuabudiwa
unastahili ewe yesu
unastahili kuabudiwa
unastahili eh
huruma zako na neema
zimenitosheleza
huruma zako na neema
zimenitosha
huruma zaaaako
zimenitosheleza
huruma zako na neema
zimenitosha zimenitosha
baba eh eeeh

unastahili kuabudiwa
unastahili ewe yеsu
unastahili kuabudiwa
eh

ni nani kama wewe bwana
hakuna, mwenginе mwengine
kama wewe, hakuna
naaani kama wewe bwana
hakuna hakuna
mwengine kama wewe
hakuna
unastahili baba
yeah yeah yeah

unastahili kuabudiwa
unastahili ewe yesu
unastahili kuabudiwa
eh
ni wewe ni wewe bwana
ni wewe eeh ni wewe bwana
oooooh
eh ni wewe bwana
ni weweeeee
bwana mponyaji w~ngu
ni weweeeee
kimbilio langu
msaada w~ngu ni wewe
tegemeo langu ni wewe
unastahili eh

unastahili kuabudiwa
unastahili ewe yesu
unastahili kuabudiwa
eh

unastahili kuabudiwa
unastahili ewe yesu
unastahili kuabudiwa
eh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...