lirik lagu abbas kubaff - chapaa
[intro]
mi nalike chapaa vile we hu-like chapaa (yeah)
mi n-z-peleka bank ukizipeleka bar (round hii niko serious)
(tshazi twende kazi, ye-ye-ye-yeah)
[verse 1]
doobeez ni mchizi mi ni msanii toka c-vo
sisikiki sishikiki stishiki na vitisho
naenda job na jeans juu nimevalia t-sho
na tangu kitambo mi huwa, hivo-hivo
mc’s wana ji-do k-mbe hawan hata dough
dough zimefanya ati watu mapembe zigrow
wanapenda kujigamba na k-mbe hawana hata flow
traffic haijambamba mzeya, basi mbona unaenda slow?
nairobi ukisleki basi jo utakuta door
utakutwa na mtu tisa ukitoka carnivore
chuma kwenye kichwa mzeya, eti juu
mi n-z-peleka bank ukizipeleka bar!
[chorus]
mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa
mi na-like chapaa, mi na mi na-like chapaa
mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa
mi n-z-peleka bank ukizipeleka bar
[verse 2]
nafika coast ku-cruise ndani ya 4×4
naenda kupiga show, cds na ma-c-sso
mf-ko nimesota, mzeiya jo niko na soo
lakini haina noma, i hope mzeiya uko po-a
seti hii kwa player juu kapuka imenibo
tshazi twende kazi wacha jo niwapeleke slow
wacha niwa-show jinsi ya k-make dough
stage nikifika nipe mbili za vodo
oh! oh! oh! cheki ma-fovo
cheki hizo macho jo mzeiya utasema “oh!”
bora tu nifike mzeiya nipige show
mi n-z-peleka bank ukizipeleka bar!
[chorus]
mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa
mi na-like chapaa, mi na mi na-like chapaa
mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa
mi n-z-peleka bank ukizipeleka bar
[bridge]x2
watu wanasemanga mi nakaa tu msee wa mtaa
ni kama sina chapaa (we umesota!)
wengine wanasemanga mi nakaa tu ka jamaa
hawezi kuwa star (abbas umesota!)
watu wanasemanga mi nakaa tu msee wa mtaa
ni kama sina chapaa (we umesota!)
wengine wanasemanga mi nakaa tu ka jamaa
hawezi kuwa star (abbas umesota!)
[chorus]x2
mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa
mi na-like chapaa, mi na mi na-like chapaa
mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa
mi n-z-peleka bank ukizipeleka bar
mi nalike chapaa vile we hu-like chapaa
mi n-z-peleka bank ukizipeleka bar
mi nalike chapaa vile we hu-like chapaa
chapaa, chapaa, chapaa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu machine go boom - this song is a secret
- lirik lagu asbo slipz - control - acoustic version
- lirik lagu yung bart - człowiek
- lirik lagu filipe ret - gonê
- lirik lagu the hibreeds - knock knock
- lirik lagu aaa - dragon fire (instrumental)
- lirik lagu hard gz - crowfunding pa' un bmw
- lirik lagu eminem - get you mad (türkçe çeviri)
- lirik lagu bobby kensei - loner (dlc)
- lirik lagu dani umpi - creí que perdí