lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu a.t. zanzibari - bi. harusi

Loading...

(instrumentals)

[chorus]
balaa, ugomvi leo
somo yake bi. harusi
[manya] kanga mpo wapi leo, muje muamue kesi
(tupo)
balaa, ugomvi leo
somo yake bi. harusi
mtizameni mkwe wenu kwa bashasha na ucheshi
balaa, ugomvi leo
somo yake bi. harusi
umetaniwa kidogo, unatoa matapishi
balaa, ugomvi leo
somo yake bi. harusi
wewe jifanye mjuaji, ukapike wali mbichi
balaa, ugomvi leo
somo yake bi. harusi

[post~chorus]
nampenda [shuharina]
shuharina, shuharina (aka!)
namtaka shuharina, shuharina, “pesa sina (tena!)
nampenda [shuharina]
shuharina, shuharina (ndio hivyo, hivyo)
hodi, hodi eh
oy, weh…

[verse 1]
kina mama, mabibi na mababu, ‘nawashika masikio
hawa [wari] wa sasa wana tabu, ‘waozeshwe mbio mbio
kina mama, mabibi na mababu, ‘nawashika masikio
hawa [wari] wa sasa wana tabu, ‘waozeshwe mbio mbio

[verse 2]
[mwanjaha] ana tabia mbaya
anamsema mkwewe, eti kwamba ana chawa
[mwanjaha] ana tabia mbaya
anamsema mkwewe, eti kwamba ana chawa

[verse 3]
sumoona visa (yala!)
vya kusikitisha, (toba!)
mwari hana pesa anajitongozesha
sumoona visa (aka!)
vya kusikitisha, (tena!)
mwari hana pesa, anajitongozesha
hehehe, kaoge

[chorus]
balaa, ugomvi leo
somo yake bi. harusi
[manya] kanga mpo wapi leo, muje muamue kesi
(tupo)
balaa, ugomvi leo
somo yake bi. harusi
mtizameni mkwe wenu kwa bashasha na ucheshi
balaa, ugomvi leo
somo yake bi. harusi
umetaniwa kidogo, unatoa matapishi
balaa, ugomvi leo
soko yake bi. harusi
wewe jifanye mjuaji, ukapike wali mbichi
balaa, ugomvi leo
somo yake bi. harusi
[post~chorus]
nampenda [shuharina]
shuharina, shuharina (aka!)
namtaka shuharina, shuharina, ‘pesa sina (tena!)
nampenda [shuharina]
shuharina, shuharina (ndio hivyo, hivyo)
namtaka shuharina, shuharina, ‘pesa sina

heh, wengine w~n~lia umbea kwenye harusi, eh
wakaoge

[verse 4]
somo yake mueleze na mapema
akiachika wasije pata la kusema
somo yake mueleze na mapema
akiachika wasije pata la kusema

[verse 5]
rafiki wa sikuhizi
usiwaone wajuzi, wanaranda na hirizi, kuyaharibu mapenzi
rafiki wa sikuhizi
usiwaone wajuzi, wanaranda na hirizi, kuyaharibu mapenzi

[verse 6]
mimi na wewe
tusipeane lawama
tumealikwa, ya nini ukimbie na nyama?
mimi na wewe
tusipeane lawama
tumealikwa, ya nini ukimbie na nyama?
wa [?] ndiyo kazi yao

[chorus]
balaa, ugomvi leo
somo yake bi. harusi
[manya] kanga mpo wapi leo, muje muamue kesi
(tupo)
balaa, ugomvi leo
somo yake bi. harusi
mtizameni mkwe wenu kwa bashasha na ucheshi
balaa, ugomvi leo
somo yake bi. harusi
umetaniwa kidogo, unatoa matapishi
balaa, ugomvi leo
somo yake bi. harusi
wewe jifanye mjuaji, ukapike wali mbichi
balaa, ugomvi leo
somo yake bi. harusi

[post~chorus]
nampenda [shuharina]
shuharina, shuharina (aka!)
namtaka shuharina, shuharina, “pesa sina (tena!)
nampenda [shuharina]
shuharina, shuharina (ndio hivyo, hivyo)

(instrumentals)

[bridge]
eh, mama, lawama
kanipa shubiri, kaniambia nyama
eh, mama, lawama
kanipa shubiri, kaniambia nyama
eh, mama, lawama
kanipa shubiri, kaniambia nyama
heh!

[verse 7]
dada yake bi. harusi (tena!)
yuko wapi aje hapa
nimekuja na mzigo leo nataka k~mpa
mama yake bi. harusi na mumewe anacheka
muambie babu hamisi, asije toa talaka

[bridge]
we mama (heh!)
lawama (tena!)
kanipa shubiri, kaniambia nyama
we mama, ‘lawama
kanipa shubiri, kaniambia nyama
vya utamu

[drop]

uh, eh ‘we ni chai eh, nakuharibu kwa kukutia tui tu mimi eh
ha~ha

[outro]
sambusa, nipe sambusa
sambusa, nipe sambusa
sambusa, nipe sambusa
he~he
sambusa, nipe sambusa
sambusa, nipe sambusa
…eeh, huu ndio mduara [dumbak] eh
eh, hii kutoka kwa [?]
almaarufu kama “zanzibar”
wewe kinda tu, kuruka hauwezi
wela, wela, wela, wela, wela, we
eh…mambo ya pwani haya, eh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...