lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu a.t. zanzibari - antetera

Loading...

[intro]
vipi?
safi
umeshawahi kula papa?
papa?
eh, papa
papa, papai?
papa, samaki
aah, k~mbe papa samaki
asa upate kwa muhogo
ooh
na chumvi, chumvi yake
ooh
he~he, ulinipeleka mbali kidogo

[chorus]
antetera we tente we
(antetera we tente)
antetera we tente we
(antetera we tente)
ah, antetera we tente
(antetera we tente)
ah, we antetera we tente
(antetera we tente)

[verse 1: a.t.]
bwana haji na [?] amenifata nyumbani
sintoweza kusahau, ahera na duniani
bwana haji na [?] amenifata nyumbani
sintoweza kusahau, ahera na duniani

nashangaa mkulima, unaolima baharini
siri zangu wazisema, zako nifiche kwanini
nashangaa mkulima, unaolima baharini
siri zangu wazisema, za kwako nifiche kwanini
[bridge]
nina mazonge tele
nina mazonge mie
ah~ah
nina mazonge tele
nyamaza niseme mie

[chorus]
antetera we tente we
(antetera we tente)
antetera we tente we
(antetera we tente)
ah, antetera we tente
(antetera we tente)
ah, we antetera we tente
(antetera we tente)

[verse 2: cholo]
sipishi wala kibaba
hali yangu taabani
mie na nyingi [?]
niwazapo moyoni
sinto stawisha mahaba, kwa wali wa [?]
wala sitaki nasaba, hali yangu ni duni
tuitekeze haiba, tuelekee usoni
biashara isiyo na tija, nifanye ya kazi gani?
[bridge]
nina mazonge tele
nina mazonge mie
nina mazonge tele
niache niseme mie

[chorus]
antetera we tente we
(antetera we tente)
antetera we tente we
(antetera we tente)
ah, antetera we tente
(antetera we tente)
ah, we antetera we tente
(antetera we tente)

[conversation 1]
majina ya muembe ni mengi sana bwana
eh~he…
yaani, muembe njugu
eh~he
muembe ma [?]
eh~he
muembe shauri
eh~he
muembe chai
ndio
muembe [?]
ndio
muembe [hatari]
ndio
muembe mchomeke
ah, huo sio muembe huo
huo pia muembe bwana
sio muembe
muembe mchomeke!
huo sio muembe, mi sitaki
kama hutaki basi
aya
[verse 3]
kuku w~ngu wa mayowe
kataga wee…
hutaga na kuangua
kutaga kwa mwenyewe mganga
kuku w~ngu wa mayowe
kataga wee…
hutaga na kuangua
kutaga kwa mwenyewe mganga
ikiwa unguja, ikiwa pemba
(hutaga kwa mwenyewe mganga)
ikiwa comoro, ikiwa mayotte
(hutaga kwa mwenyewe mganga)
ikiwa mauritius, ikiwa mombasa
(hutaga kwa mwenyewe mganga)
ikiwa seych~lles, ikiwa madagascar
(hutaga kwa mwenyewe mganga)
ikiwa bara, ikiwa wapi?
(hutaga kwa mwenyewe mganga)

[conversation 2]
yaani mkono unaniwasha
utapata pesa
nyusi zinanicheza
kuna jambo zuri linakuja
na jicho pia linanicheza
utapata kazi karibu
na miguu inanitetemeka kweli
kuna jambo umelifanya, acha kunificha mie wewe
jambo gani?
k~mbe siwajui nyie vijana mambo yenu siku hizi, ah!

[outro]
kuku w~ngu wa mayowe
kataga wee…
hutaga na kuangua
kutaga kwa mwenyewe mganga
kuku w~ngu wa mayowe
kataga wee…
hutaga na kuangua
kutaga kwa mwenyewe mganga
ikiwa unguja, ikiwa pemba


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...