lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu a-1 rokker - jiji

Loading...

(hook)

tingiza kichwa na uwike na high key

tingiza kichwa na uwike na high key

block ni hot, kuitoka imengóra
en kare nairobi ni jiji la wakora

block ni hot, kuitoka imengóra
en kare nairobi ni jiji la wakora

(verse 1)

dre ni mimi, shot ni iv
thoughts ni mingi, kichwa ni hivy
rhymes ni mbichwa, inademand high fee
hitlist naitick off early kick off kinike
tingiza kichwa na uwike na high key
nikispit ni kibali utingiziwe na wifey
bungee, ukidhani we ni mdeep,wapi?
huguzi maji, mi sijui ardhi
hatuezi omoka wote na mi sikwachii
nka nna beef na hakuna sh~t inaeza fanya nisquash it
taki ni ya ktoka block. na casualties w~ngapi?
sijali, game ni rigged siwezi cheza halali
we cheza na ref. relegation hadi kwa mathe
ushaikula mate na ngwaci?
nikispit, ni kibali utingiziwe na wifey
tingiza kichwa na uwike na high key

(hook)

(verse 2)

f~ck norms, ilibidi nimove na akili
flank maopps, kabla wagunduе achilles
kuniskiza ni ukiwashe na sikosi hadithi
tupatane offlinе nikupashe joto baridi
kunishika offside labda mkini~ua la waridi
si wengi hupata maua zao kabla wafariki
nadai nganji ka haunikaji usinipotezee wakati
sidai kuenda mbali, sidai magari fancy
sidai mali obscene, sidai hao mamanzi
natamani amani na hio si jina ya baddie
juu ni ngumu kuiwai tukinyimwa uradi
na warazi napigia dua wapigwe na radi
hali jua likitua yut anageuza rangi
chema kinajiuza, wawrong wanazurura
wakikuona, we ni pena hawaezi afford kupura
landi anadai za nyumba, watoi za kukula

(hook)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...