
lirik lagu 8th street gang - sikujui
[chorus: mundi]
nyi mnakesha kwa gym (kwa gym)
me nakesha nikisaka vile ntadish (wop wop)
dimbua leo juu ya kesho me sijui (me sijui)
na si slim, nipige slim (nipige shh)
leo sk~ma, ya kesho me sijui (me sijui)
nabonya leo juu ya kesho me sijui (ah ah)
naeza kubonya, juu sikujui
na niko wera, jifanye we hunijui
[verse 1: mundi]
wananizoom
rong g siezi lack ndio waniboom
kama joker, si tuko loose
na ni mabare, jifanye we hunijui (ah ah)
naeza kuslap pia (woah)
naeza kukamia (woah)
naeza kuwai pia (woah)
ukinikaribia
right shetta left ikona pioneer
wife beka side akona caribbean (ei ei)
yeah
na tuko rear
moshi mingi ni ka tuko korea (shh shh)
bumper biggy round ikona sphеre
nasikupimi
naeza kuswear
(naеza kuswear, naeza kuswear, naeza kuswear)
yeah, nataka minimum
ka si thao nipige trao, na ukona minute man
na si joke tukona smoke, na si ya bibly gun
nakuja kwao, tukona bully fam
[verse 2: breezy]
grim reaper nimekam for your soul, dig deeper
me caesar toa tax, ama uingizwe ndani ya pipa
juu ya fila me nastep on their necks, nikona freezer
no filter leta raw, tunataka hizo reefer
waliswitch sides, tuko greener
punguza silence. juu ka ni bed nataka screamer
cold kwa booth, kama plamer addi teacher
step tuki step, leta bricks me ndio dealer
i’m not your normal rapper nafeel ka gaddafi na panga
najua unaplan k~master do re mi naipaint kwa canva
ka death note, nachora rhymes ka manga
ni too graphic, nafeel ka plumber
lay pipe na mkamba
after mechi namdrop ka osama
tu tu tu meditate dalai lama
cunnilingus kwa grammar
l!ck hio scheme naispit ka zama
nataka wings to fly, nibalance hio equity
shank kwa right on my left nikona deposit
simu mob staki biz haina ka profiti
keep distance we si fam usitake covidi
weather good by my side, huku stormy zii
mash ni wet kama p~ssy, naeza force it in
hii sh~t ni hard itabidi mtoe diapers
n~ggas wako slow wamekosa fibre
malnutrition on your face
vis~à~vis your case
hii si debate
early bird alifika late (alifika late)
[chorus: mundi]
nyi mnakesha kwa gym (kwa gym)
me nakesha nikisaka vile ntadish (wop wop)
dimbua leo juu ya kesho me sijui (me sijui)
na si slim, nipige slim (nipige shh)
leo sk~ma, ya kesho me sijui (me sijui)
nabonya leo juu ya kesho me sijui (ah ah)
naeza kubonya, juu sikujui
na tuko wera, jifanye we hunijui
[outro: mundi]
yeah, nakuja bare
nitume fare
na siko fair
nakudhigidha, ni we nakuchorea
siezi kulea, we si mimea
yeah, nakuja bare
nitume fare
na siko fair
nakudhigidha, ni we nakuchorea
siezi kulea
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu rghvarchive - miss you
- lirik lagu menddex - real gangsta
- lirik lagu codeine kiss - street hurt
- lirik lagu shaniqua shay - u kissed a tranny
- lirik lagu klarisse - di kayang pilitin
- lirik lagu lil x21 - alone is better
- lirik lagu michal prokop & framus five - zatmění
- lirik lagu her min - morning song / 朝が好き
- lirik lagu ponderosa twins plus one - tomorrow's train
- lirik lagu chunkiplee pakdee - literally poetry in fuck world