lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu 8th street gang - nijaribu

Loading...

[intro: mundi]
woah
yea

[chorus: mundi]
sitishii me nakuwarn
‎ka una gas we nijaribu
‎leng alidedi na cologne
‎ka una mash we nijaribu ‎
‎tuki link alikua za waah
‎aliona mash akaanza war
‎kata gas namsakia kwao
‎ka una gas we nijaribu ‎
‎tuki link alikua za waah
‎aliona mash akaanza war
‎kata gas namsakia kwao
‎ka una gas we nijaribu

[verse 1: breezy]
aim kwa neck kama randal keith
samurai
samurai jack yea next of kin
nisharee
nisha repent nika flee kwa sin
rapper wenu, ye ni b~tch kwa scene
keep it one hunnid
last air bender
nyi mnasema
na si tunatenda
aliacha kubonga we put him in a blender
fruit ninja on sight mbogi yao walisepa
naroll na mazombie but me si user
me si mj labda krugger
niki pin hio glove utadungwa
kama poster bado unatumwa
cpr nadeliver mouth to mouth
moja ya mdie kwa opp
pa!
namtuma south
upper class huh! sihitaji gown
calls ni mingi ka si mathao me nadai kurau
trust issues zilianza na kondiko
kama stеvo nowadays always keep it simple
try me hmm try me huh unaеza nijaribu
ka ni mash nikona mob ziko karibu
shank kwa waist ni kitu long inaeza tibu
mtu tano on my back ni ka me zizou
tulimpata bila mbogi alibaki
alibaki wrong side na me juu staki
me staki zogo nataka bob wanataka mob
wanataka more wanataka foe wanataka sinner
me ni born sinner hawanioni kama cena
[chorus: mundi]
sitishii me nakuwarn
‎ka una gas we nijaribu
‎leng alidedi na cologne
‎ka una mash we nijaribu
tuki link alikua za waah
‎aliona mash akaanza war
‎kata gas namsakia kwao
‎ka una gas we nijaribu
tuki link alikua za waah
‎aliona mash akaanza war
‎kata gas namsakia kwao
‎ka una gas we nijaribu

[verse 2: mundi]
wantaka nini?
wantaka war
‎size haimati ka huamini uliza joff
‎shank haijali inajitwist inaji troll
‎shank haijali inaji ijicontroll
‎tumekam k~mtuma lee tumekam na panga
‎leo skuli sk~mare juu nikona panga
‎nadai kichumare na nikona bramba
‎ukona techno mzee si unatupanga
‎gully crip kwa crime scene
tukidodge risasi
‎hawashiki pace dasasi
namfanya wet dasani
‎leo sibebi bae aibebe tukidodge manjege
na iko packed na ni magendo iko seal ya kebs

‎nakata upepo (para)
‎nakata upepo (para)
‎nakata upepo (para)
‎nakata upepo (para)
‎ka bendera hufuata upepo nafuata leso
‎ka bendera hufuata nafuata leso
[chorus: mundi]
sitishii me nakuwarn
‎ka una gas we nijaribu
‎leng alidedi na cologne
‎ka una mash we nijaribu
‎‎tuki link alikua za waah
‎aliona mash akaanza war
‎kata gas namsakia kwao
‎ka una gas we nijaribu
tuki link alikua za waah
‎aliona mash akaanza war
‎kata gas namsakia kwao
‎ka una gas we nijaribu

[outro: mundi]
nakata upepo
nakata upepo
nakata upepo
nakata upepo
ka bendera hufuata upepo nafuata leso
‎ka bendera hufuata nafuata leso


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...