lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu 8th street gang - chase

Loading...

[chorus: breezy]
uhh!
core ni tisa tuko high speed chase
ongeza millimetre siezi afford kuwa late (yeah)
two a.m. early birds wako kwa net
idhaa ndio mbaya ni masaa ya kureset (cause)
core ni tisa tuko high speed chase
ongeza millimetre siezi afford kuwa late (yeah)
two a.m. early birds wako kwa net
idhaa ndio mbaya ni masaa ya kureset

[verse 1: breezy]
(okay), okay
ni masaa ya kureset
kuna shughuli iko due na bado pori iko wet
top player, cheki view nimewabakishia bench
niko central kwa crew, nikona greatness ya cench
(school)
school motto tulichoma nayo dorm
bad habits ndio mob, na ka ni ndom ziwe four
(toa)
toa tax hii si charity ya ngilu
hii blade ni ya sisu nipe chuma magneto
(kuna)
kuna vio only takes me a minute
juu geng sio issue bado target ni your tissue
si hannan tunakuwipe kama window
we take no offence, red dot, we ndio hindu (pa pa, yeah)
casablanca me siezi tupa blanks
na gains ziwe mingi tukipandisia plank (uh)
tone ni green imebadilisha hulk
peng mali safi nikitaka nina smash (pah)
paint the picture, hii ni legend of the seeker
na moshi ni ya sima, ka ni beef nataka griller (uhh)
dry cleaner, nimetoka kwa obinna
baraka ziko mingi, zinashuka bila filter
wamekwama ndani ya defence kama low blocks
na ka ni rough siucheza hadi low blows
wako attached kama syndrome, stockholm
(wako attached kama syndrome, stockholm)
[chorus: breezy]
uhh!
core ni tisa tuko high speed chase
ongeza millimetre siezi afford kuwa late (yeah)
two a.m. early birds wako kwa net
idhaa ndio mbaya ni masaa ya kureset (cause)
core ni tisa tuko high speed chase
ongeza millimetre siezi afford kuwa late (yeah)
two a.m. early birds wako kwa net
idhaa ndio mbaya ni masaa ya kureset

[verse 2: mundi]
uhh, naeza kuslap na hizo gang signs (pa)
me si prof ukilack unadai saa hii (woi)
niko on road, we uko home hatukai alike
nikona street cred, we unasaka hatukai alike (ah ah)
sikosi shank niko patrol ka maasai
unabrag utanismoke,tukilink una demise
siezi lack, nikona shank pon me side
nakesha kwao, nikona motive nitakuwai (ei ei)
mbona nistarve na niko blessed na mkono, niko armed (woah)
guaranteed ni hii side tukona arms (woah)
tuko kwa ching mode, hao wako b~tch mode
usiniweigh nikijam me na come (me na come)
masaa ni mbaya (woah)
na uko pabaya (woah)
tuwai za supper (woah)
masaa ni mbaya
na uko pabaya
tuwai ata bramba, au ucross valhalla (woohoo)
na me ndio mzing kwa booth, hao ni manoob
naleta heat kwa booth, hao wanafume
walinipin kwa scene, juu ya perfume
walitaka bar for bar, si waliloose
alikula shets kwa neck, alidedi ka amebend
alitaka fame na gang, alitumwa morgue atrend
unadai kubeef na gang, unaeza tumwa h~ll
unadai kuplead na gang huoni (urgh)
[chorus: breezy]
core ni tisa tuko high speed chase
ongeza millimetre siezi afford kuwa late (yeah)
two a.m. early birds wako kwa net
idhaa ndio mbaya ni masaa ya kureset (cause)
core ni tisa tuko high speed chase
ongeza millimetre siezi afford kuwa late (yeah)
two a.m. early birds wako kwa net
idhaa ndio mbaya ni masaa ya kureset

[chorus: breezy]
(core ni tisa tuko high speed chase)
(ongeza millimetre siezi afford kuwa late)
(two a.m. early birds wako kwa net)
(idhaa ndio mbaya ni masaa ya kureset)
(core ni tisa tuko high speed chase)
(ongeza millimetre siezi afford kuwa late)
(two a.m. early birds wako kwa net)
(idhaa ndio mbaya ni masaa ya kureset)

[outro: breezy]
(core ni tisa tuko high speed chase)
(two a.m. early birds wako kwa net)
(core ni tisa tuko high speed chase)
(ongeza millimetre)
(two a.m. early birds wako kwa net)
(idhaa ndio mbaya)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...